Ex wa Nicki Minaj, Safaree ameendlea bado kumtusi Meek Mill kwa kile kilichotokea katika BET Weekend June 23 ambapo alitembezewa kipigo na Crew Ya Meek Mill.
Safaree amefunguka maneno 5 kwa Meek Mill wakati akiwa anafanyiwa mahojiano na HipHopDX na kusema kwamba ,βFuck him,βHeβs a coward.β
Kuhusiana na Meek Mill alishafunguka kupitia TMZ na kusema kwamba hajui kama angehusishwa na tukio hilo la kipuuzi
EmoticonEmoticon