TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz & Vanessa Mdee Wametajwa Tena Katika Tuzo Hizi Kubwa

Nigeria Entertainment Awards imewataja wasanii watakaogombea kuwania Tuzo hizo kubwa kwa mwaka 2017 

Watanzania wawili waliopata nafasi ni pamoja na Simba aka Diamond Platnumz pamoja na Queen Vanessa Mdee ambaye siku ya leo July 10 itadondoka collabo yake pamoja na Peter wa P Square inayokwenda kwa jina la Kisela.

Katika Tuzo hizo Diamond Platnumz ametajwa kugombea katika kipengele cha Best African Male Artist na Vanessa Mdee kutajwa katika kipengele cha Best African Female Artist.

Tuzo hizo zinategemea kufanyika September 3 2017 ndani ya New York City.

Hongereni Diamond & Vanessa

Best Africa Male Artist
Casper Nyovest [SA]
Stonebwoy [GH]
Diamond Platnumz [TZ]
Sarkodie [GH]
Eddie Kenzo [UG]
Sauti Sol [KQ]
Nasty C [SA]
Toofan [TG] 

Best Africa Female Artist [Non-Nigerian]
Amanda Black [SA]
Victoria Kimani [KQ]
Becca [GH]
Vanessa Mdee [TZ]
Butera Knowless [RW]
Sheeban Karungi [UG]
Efya [GH]
Queen Vee [ZIM]




EmoticonEmoticon