TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake & Nicki Minaj Kula Shavu Hili Kubwa Katika Tuzo za NBA

Baada ya Nicki ku perfom katika tuzo za Billboard pamoja na Drake kutoka na ushindi mkubwa wa Tuzo 13,hatimaye wamekula shavu jingine kupitia Tuzo kubwa za NBA 

Nicki Minaj jina lake limetajwa kati ya wasanii watakao perfome katika tuzo hizo ambazo Host wake atakuwa ni Drake.

Nicki alishare post katika ukurasa wake wa Twitter kuonyesha furaha kubwa ya shavu hilo kwa kuandika,"Performing @ the 1st ever #NBAAwards, hosted by Drake ~ June 26th on TNT 🏀 #SwishSwishBish
Tuzo hizo kubwa za NBA zitafanyika tarehe 26 June Jijini New York 


EmoticonEmoticon