TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Asherekea Album Yake Kuendelea Kutimua Vumbi Billboard

Baada ya Last Week Grateful kuingia katika chart za Billboard 200,Hatimaye Dj Khaled ameendelea kusheherekea matunda mazuri ya Album yake hiyo.

Kupitia Billboard wameweza kuitazangaza tena album hiyo kuwa katika week ya pili namba 1 bila kusogea kwa kuendelea kufanya powa katika mauzo na kupata AirTime.

Kupitia kurasa yake ya Instagram ameweza kuonyesha furaha kwa baadhi ya post na Video.Tazama zote hapo chini

TAZAMA VIDEO






EmoticonEmoticon