TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Awachanganya Watu Na Kusahau Harusi Ya Prof Jay(Full Video)

Mbunge na msanii Prof Jay alikuwa katika kusheherekea harusi yake ambayo ilihudhuriwa na watu mbali mbali ikiwemo baadhi ya viongozi wa serikali.

Diamond Platnumz alikuwa mmoja kati ya wageni waalikwa bt aliingia kama Surprise ukumbini bila watu kujua kuhusiana kwamba Diamond ataingia ukumbini hapo na kuwafanya watu kusahau kinachoendelea na kuanza kumshangaa na kupiga naye picha huku akiendelea kutumbuiza

Nimekuwekea full video toka akiwa anaingia mlangoni mpaka ukumbini.Enjoy

TAZAMA FULL VIDEO


EmoticonEmoticon