TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Aachiwa Huru.Alichokisema Baada Ya Kuwa Huru (VIDEO)

Rapper Meek Mill amefanikiwa kuachiwa huru kwa dhamana Siku ya Leo Jumanne April 24 kwa Kesi iliyokuwa inamkabili na kuhukumiwa kwenda Jela miaka 2 Hadi 4, November 2017.


Kauli Meek Mill baada ya kutoka Jela aliiambia TMZ & Billboard,"Napenda kumshukuru MUNGU,familia yangu,mwanasheria wangu my team at Roc Nation akiwemo  JAY-Z,Desiree Perez, my good friend Michael Rubin, mashabiki zangu,The Pennsylvania Supreme Court na watetezi wangu wote wa umma kwa upendo, support yenu na kwa kunitia moyo katika kipindi chote kigumu."

Aliongeza,"Wakati miezi mitano iliyopita imekuwa ndoto,sala,ziara,simu,barua na mikusanyiko imenisaidia mimi kukaa chanya na natoa shukrani zangu za dhati kwa Ofisi ya Mwanasheria wa Wilaya kwa ahadi ya haki na sio kwa kesi yangu tu bali hata kwa wale ambao wapo jela kutokana na makosa mabaya ya polisi"Alimaliza Meek Mill.

Aliweza kutoa shukrani zake hizo hizo pia kupitia account yake ya Twitter. 


Ingawa yupo huru kwa wakati huu, huku Kesi yake ikiendelea, amefunguka,"Wakati huo huo, nina mpango wa kufanya kazi kwa karibu na timu yangu ya kisheria to overturn this unwarranted conviction  na kuangalia mbele kuunganika na familia yangu na kuendeleza Carrier yangu ya muziki."


Mwanasheria wa Meek Mill alifunguka pia na kusema kwamba,"Meek Mill alikuwa na hatia ya haki na hakutakiwa kutumia hata siku moja jela..."



Baada Ya Meek Mill kuwa Out Tweet na post za mastaa zilianza kutiririka akiwemo Jay-Z









EmoticonEmoticon