TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Awaataja Rappers 5 Anaowakubali Wakati Wote

Rapper Lil Wayne amewataja G.O.A.T.(Greatest Of All Time) Rappers anaowakubali katika game ya muziki wa Hip Hop Duniani.

Via Complex Weezy amemtaja, Cam’ron, UGK, 8 Ball & MJG, Missy Elliott na JAY-Z.


Miss Eliot alifanikiwa kukutwa na habari hii na ku respond kwa kutumia account ya Twiiter kwa kuandika,"I am truly honored๐Ÿ™๐Ÿพ & humbly grateful❤️such a Blessing๐Ÿ™Œ๐Ÿพ "
Rappers Wengi wamekuwa wakimkubali Weezy kama G.O.A.T. akiwemo Drake, Nicki Minaj na Kendrick Lamar.


EmoticonEmoticon