TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nyimbo Zitakazopatikana Katika Mixtape Mpya Ya Wizkid (Sound from The Otherside Tracklist)

Msanii toka Nigeria Wizkid ameachia ngoma zitakazopatikana katika Mixtape yake ijayo ya Sound From The Otherside ambayo amewashirikisha Vichwa kama, Drake,Trey Songz,Major Lazer,Chris Brown,Ty Dolla $ign pamoja na Bucie.

Bonus Track ambayo itapatikana huko inajulikana kwa jina la Bring It Back,Kwa ujumla Mixtape ina ngoma 12 pamoja na Bonus ni 13.Mixtape inategemewa ku land July 14

Tazama Full Tracklist  
1. Sweet Love
2. Come Closer (feat. Drake)
3. Naughty Ride (feat. Major Lazer)
4. African Bad Gyal (feat. Chris Brown)
5. Daddy Yo
6. One For Me (feat. Ty Dolla $ign)
7. Picture Perfect
8. Nobody
9. Sexy
10. All For Love (feat. Bucie)
11. Dirty Wine (feat. Ty Dolla $ign)
12. Gbese (feat. Trey Songz)
Bonus Track
13. Bring It Back


EmoticonEmoticon