TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mtoto Wa Jay-Z Blu Ivy amepata Shavu Katika Album Ya Baba Yake Katika Bonus Track(VIDEO)

Mtoto wa Jay-z Blu Ivy amepata shavu la ku Freestyle katika album ya Jay-z 4:44 katika Bonus track zilizotoka July 6 ambayo imepewa jina la Blue’s Freestyle / We Family.

Katika Freestyle hiyo yenye sekunde 45 Ivy anasikaka,"Never seen a ceiling in my whole life,Boom shakalaka, boom shakalaka, everything in shaka, everything in faka.”

Mtoto Wa Jay-z ana umri wa miaka 5 na ameanza kuonyesha kufwata nyendo za wazazi wake.

SIKILIZA FREESTYLE HAPO CHINI


EmoticonEmoticon