TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Ameachia Cover Ya Project Ijayo & Anafanya Kazi Na Msanii Mwingine Mkubwa.Tazama Hapa

Msanii Wizkid anaendelea kufanya powa na soon anategemea kuangusha Project yake ya Sound From Otherside ambayo itatoka July 14 na ametoa cover ya Mixtape hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram
Katika project hiyo atakuwa na vichwa kama vile Future,Ty Dolla Sign na wengine.But kupitia account yake ya Instagram ameweza kuweka picha wakiwa na msanii Wale ambayo ina sounds kama wana shoot kichupa.
Let's Wait and See!!!!




EmoticonEmoticon