TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rae Sremmurd Ndani Ya Deal Jipya Na Kampuni Ya Viatu Vya Reebok


Kampuni ya Reebok imetangaza kuingia ubia na ma rapper wawili wanaoliunda kundi la Rae Sremmurd kuwa now watakuwa wanatangaza Brand zao za viatu vya Kampuni hiyo.

Rae Sremmurd wataungana na Teyana Tylor,Kendrick Lamar pamoja na Future ambao hao walikuwepo katika kampuni hiyo kipindi cha nyuma mpaka now



EmoticonEmoticon