TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Utaipenda Video Ya Dj Khaled Akiongea Na Executive Producer Wa Grateful,Asahd


Moja kati ya mambo ambayo Dj Khaled hapendi ku mis kila siku ni mwanaye Asahd kukosekana katika social media Daily na kum Treat like King.

Dj Khaled ameongea na mwanaye kuhusiana na Collabo walizozifanya na ma artist katika album ya Grateful,kuhusiana na Video ambazo anataka afanye na alizokwishafanya na mengine mengi.

Chukua Dk 2:30 kuitazama video hapo chini


EmoticonEmoticon