Kama wewe ni mpenzi wa Game,hii itakuwa Habari Njema kwako cs ni kama GTA wamekutana na Fast & Furious.
Moja kati ya Picha inayopatikana katika Trailer ya Game mpya ya Need For Speed Payback
Game hii itakuja ikiwa ime contain magari 5 kwa muonekano mpya kama vile,the 1967 Chevrolet Camaro SS, 1969 Dodge Charger R/T, 2008 Nissan 350Z, 2016 Ford F-150 Raptor, na 2016 Volkswagen Golf GTI Clubsport.
Game hili litatoka November 10 mwaka huu.Enjoy kuitazama Trailer Hapo chini
EmoticonEmoticon