Baada ya Chris Brown kuzuiwa kutokuwa karibu na Karrueche kwa muda wa miaka 5 na kuwa mbali naye kwa Mita 100,Hatimaye kuna update mpya zilizopatikana BET cs wawili hao wote walikuwa katika stage ya BET ambapo Breezy alikuwa akiperfome & Karrueche alikuwa presenter ana promote Television show mpya.
Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kwamba wawili hao wakati Chris Brown amepanda jukwaani,Hatimaye producer alimchukua Karrueche na kwenda kumweka katika chumba ambacho iliripotiwa pia hakuwa anaangalia show ya Breezy mpaka alipomaliza perfomance.
Breezy ali perfome ngoma ya Privacy pamoja na Party na baada ya kumaliza alienda back stage na kukaa kwa muda wote bt alikuwa mbali sana na Karrueche kama mahakama ilivyotoa tamko lake.
EmoticonEmoticon