TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

I'm The One Ya Dj Khaled Imefanya makubwa Billboard Hot 100.Tazama Top 10 List Hapa

Ngoma ya Dj Khaled aliyowashirikisha mastaa kama,Lil Wayne,Justin Bieber,Quavo pamoja na Chance the Rapper ya I'm The One,imefanikiwa kufanya makubwa katika chart za muziki za Billboard kwa kushika nafasi ya Kwanza kwenye Billboard Hot 100.Ngoma hiyo inapatikana katika Album yake ya Grateful ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu.

Kupitia Account ya Billboard ya Twitter wameandika hivi

 Account pia ya Dj Khaled ya Twitter naye amesheherekea Good News hiyo
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
1. DJ Khaled feat. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne – “I’m the One”
2. Bruno Mars – “That’s What I Like”
3. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
4. Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
5. Ed Sheeran – “Shape of You”
6. The Chainsmokers & Coldplay – “Something Just Like This”
7. Future – “Mask Off”
8. KYLE feat. Lil Yachty – “iSpy”
9. Lil Uzi Vert – “XO TOUR Llif3”
         10. Kyo x Selena Gomez – “It Ain’t Me” 


EmoticonEmoticon