TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj Naye Amefanikiwa Kupata Hichi Hapa Baada Ya Remy Ma Kushinda BET

Female Rapper  Nicki Minaj amepewa heshima kubwa kutoka kwao Queens, New York baada ya kukabidhiwa Ufunguo Wa Queens.
Nicki Minaj Aka Onika Tanya Maraj ametuonyesha ufunguo wa Gold aliopewa kwa juhudi kwenye muziki na kuwakilisha vizuri alikotoka, heshima hii amepewa na Queens Borough President Melinda Katz.

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv