TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Litty Ya Meek Mill Yafanya Makubwa

Meek Mill bado anaendelea kufanya powa na Album yake ya DC4 ambayo ilitoa baadhi ya ngoma kali na zinazoendelea kufanya powa still Now.

Litty ni moja kati ya ngoma inayopatikana katika album hiyo ambayo amemshirikisha Tory Lanes na imefanikiwa kufikia mauzo ya Gold kwa kupitia Recording Industry Association of America

Alichokiandika Meek Mill baada ya kupata good news hiyo ni,My mugshot going gold, Appreciate the love and support!!! #dreamchaser.


EmoticonEmoticon