TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Yemi Alade Atangaza Tarehe Kamili Ya Kutoka EP Yake Na Unaweza Kuipata Hapa.Tazama Track list

Msanii Toka Nigeria Yemi Alade baada ya kutangaza EP yake “Mama Afrique” na msanii wa East Africa toka Kenya Nyashinski ambaye atampa shavu katika Ngoma yake ya Nakupenda ambaye ndyo msanii pekee aaliyepata collabo,Hatimaye ametangaza tarehe kamili ya kutoka kwa EP hiyo.

Kupitia Account yake ya instagram tayari ameshatangaza EP imekamilika na inategemewa ku land June 30 mwaka huu,"EFFYZZIE MUSIC GROUP / REBEL MOVEMENT PRESENT :#MamaAfriquéPRE ORDER...... OUT 30 JUNE 2017THE EP ..... LINK IN MY BIOhttp://smarturl.it/MamaAfriqueEP"


 BONYEZA HAPA KU PRE - ORDER 


EmoticonEmoticon