Baada ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika ngoma ya Unforgettable na kutokuachia Album kwa muda mrefu toka mwaka 2013,Hatimaye Montana amekuja na hii habari nzuri.
June 25 katika tuzo za BET French Montana aliweza kutumia nafasi kuwajulisha mashabiki ujio wake mpya wa Album ambayo ni Jungle Rules na akasema kwamba itatoka July 14.
EmoticonEmoticon