TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

VIDEO | Album Ya 2 Chainz Tarehe Ipo Hapa Ya Kutoka Na Drake Amesema Kitu Hiki Kwa 2 Chainz

Rapper 2 Chainz toka atangaze Album yake ya Pretty Girl Like Trap Music ambapo ilikuwa ni January na alisema kwamba itadondoka April 7 na mpaka leo hatujaipata hiyo Album,Now ametoa tarehe kamili ya Album hiyo

2 Chainz amechukua muda ku share video inayoonyesha tarehe kamili ya kutoka kwa Album yake hiyo ambayo itatoka tarehe 16 mwezi wa 6(June 16).Katika hiyo video ndani ameonekana Drake pamoja na Pharell Williams

Drake katika hiyo video anamsifia 2 Chainz kwa kumwambia,
“You’re one of my favorite rappers of all time,I say that proudly. You got the best songs.”
(We ni mmoja kati ya ma rapper ambao ninawakubali kwa muda wote,una nyimbo nzuri sana) 
TAZAMA VIDEO 


EmoticonEmoticon