TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mauzo Makubwa Ya God's Plan Ya Drake Yameiwezesha Kufikia Nafasi Hizi Kubwa Za Chart

Chart things. It’s a lot of chart things.

Drake amefanikiwa kufikia mauzo makubwa ya ngoma yake ya God's Plan ambayo imemwezesha kutangazwa na Billboard kwamba itakuwa namba 1 katika chart za HOT 100 kwa this week

God'S Plan kwa mujibu wa Billboard ni kwamba imeuza 127,000 Legal downloads(Not Free downloads) na imesikilizwa mara Million 82.4 kwa upande wa US katika week iliyoisha Jan 25 tangu ngoma itoke.

Ngoma ya God's Plan inapatikana katika Project Mpya ya Drake ambayo inaitwa Scary Hours.Isikilize Audio hapo chini


EmoticonEmoticon