Mwanadada wa Nigeria Yemi Alade ameonyesha furaha yake katika mitandao ya kijamii baada ya Album yake mpya ya
Black Magic ambayo ni Deluxe Version kusikilizwa mara Million 1 kabla album hiyo kumaliza mwezi kupitia Platform ya Spotfy.Kupitia account yake ya Instagram ameandika,"Thank you for 1MILLION STREAMS + ON #BLACKMAGIC ALBUM ON @spotify in just less than 1 month !!°°°°° #GoDown
#Knackam#YemiNation #yemitrons#defendersOfTheUniverse una too much 🌶🌶🌶😚😚👑👑👑 - Cc @effyzziemusicgroup"
EmoticonEmoticon