TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

J.Cole Avunja Record Za Platform Mbili Za Muziki Kwa Album Yake

Kupitia Album yake ya KDO iliyotoka April 19,Rapper J Cole amevunja record ya ngoma album yake kusikilizwa na watu wengi zaidi kwenye Spotify pamoja na Apple Music kwa muda wa masaa 24 toka imetoka.

Kupitia Report za Apple music Album ya Cole imesikilizwa mara 64.5 million kwa masaa 24 ya kwanza. 


Kwa mtandao wa Spotify ikisikilizwa  mara 36.6 million kwa masaa hayo hayo 24 ya kwanza.
Hakuna shaka kuhusiana na kujiuliza kama Next Week Album hiyo Ita Land namba 1 Billboard 200 cs tayari inajionyesha Data.

Msanii aliyewahi kuvunja record hiyo alikuwa ni Rapper Drake na Album yake ya Views.  


EmoticonEmoticon