Beyonce ameweka record kubwa kwa perfomance yake ya Coachella weekend iliyopita kwenye Youtube live streaming.
Perfomance yake ya jumamos ilitazamwa live na watu 458,000 (viewers) ambapo haijawahi kutokea kwa performance ya mtu mmoja kutazamwa hivyo toka miaka 8 iliyopita.
Namba hiyo pia imeipita asilimia 75% ya mwaka jana ambapo aliperfome Lady Gaga ambaye alichukua nafasi hiyo kwaajili ya Beyonce akiwa na ujauzito.
EmoticonEmoticon