TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Rapper NAS Imeshakamilika.Kanye West Amefunguka Hili Kama....

Baada ya muda mrefu wa Kimya cha Rapper Nas,Right now Kanye West ambaye ndyo producer amefunguka ukweli kuhusiana na kutoka kwa album hiyo.

Kupitia account ya Kanye West ya Twitter ameandika,"Nas June 15th"Akimaanisha project hiyo itatoka mwezi wa 6 tarehe 15.


Hatua hiyo imekuja baada ya Kanye West kusema kwamba yeye ndyo anaproduce album zote hizo na kuorodhesha tarehe ya Album nyingine ikiwemo ya Pusha T,Kid Cudi na Teyana Taylor.


EmoticonEmoticon