Badgirlriri (Rihanna) leo February 20 anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza umri wa miaka 30 na wasanii wenzake pamoja na watu mbali mbali wamemwish akiwemo Chris Brown ambaye walikuwa wapenzi hapo awali na watu walikuwa na shauku ya kujua Breezy atapost kitu gan.
Katika page ya Instagram ya Breezy ameweka picha ya Utotoni ya Riri na kuandika caption inayosomeka,“HAPPY BIRTHDAY @badgalriri”
EmoticonEmoticon