Msanii toka Nigeria Davido ameonyesha furaha yake katika mitandao yake ya kijamii baada ya ngoma zake 2 IF na Fall kufikia mauzo makubwa ambapo ngoma hizo zilitokea kupendwa sana kipindi zilipotoka.
Ngoma ya IF imefanikiwa kufikia mauzo ya Diamond(10,000,000) na Ngoma ya FALL ikafanikiwa kufikia mauzo ya Platinum(1,000,000)
Kupitia account yake ya Instagram ameweka picha yake huku akiwa ameshikilia tuzo na caption ambayo ilikuwa ikionyesha mauzo ya nyimbo hizo na kuwashukuru mashabiki.
Ngoma hizo katika mtandao wa Youtube,IF ina Views Millon 60 huku FALL ina Views Million 51
Davido ameandika,"‘IF’ Is officially Diamond and ‘FALL’ is officially Platinum in sales!!! My 🏆’s finallly came in as well! GOD IS REAL!! 😇😇😇! Thank you Guys for making this happen!! ❤️🌎 just gettin started!!! Bless to my team @efe_one @asaasika @missamadi@sirbanko @lt_ddon⚡️"
EmoticonEmoticon