Rapper Young Thug ame makeHeadlines baada ya kuingia katika mtandao wa kijamii na kuamua kubadili jina lake February 20.
Kupitia mtandao wa Twitter Rapper huyo ameandika,“I’m changing my name to SEX,For now on call me SEX!!!”
I’m changing my name to SEX....— Young Thug ひ (@youngthug) February 20, 2018
Hii sio mara ya kwanza kwa Rapper huyo kubadili jina lake cs 2016 alibadili jina lake na kujiita No, My Name Is Jeffery ambapo muda kidogo ulipita na akatoa Album ya Jeffery.For now on call me SEX!!!— Young Thug ひ (@youngthug) February 20, 2018
Mpaka right now haijajulikana sababu za Rapper huyo kubadilisha Jina cs mayb kunaweza kukawa na Project mbelea au anything else.
EmoticonEmoticon