Listen/Download Master Groove By Wizkid Mp3
Msanii Toka Nigeria Wizkid ameamua kuachia nyimbo yake mpya Master Groove kama alivyowaahid mashabiki siku za nyuma zilizopita na aliahidi kuachia ngoma 2 ambayo nyingine inaitwa Fever.Ngoma hizi zitapatikana katika album yake mpya ya Made In Lagos.Isikilize na ku download Master Groove hapo chini.Enjoy
EmoticonEmoticon