TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

AUDIO | Wizkid - Fever (Official Audio)

Listen/Download Fever By Wizkid Mp3


Msanii Toka Nigeria Wizkid ameamua kuachia nyimbo yake mpya Fever  kama alivyowaahid mashabiki siku za nyuma zilizopita na aliahidi kuachia ngoma 2 ambayo nyingine inaitwa Master Groove.Ngoma hizi zitapatikana katika album yake mpya ya Made In Lagos.Isikilize na ku download Master Groove hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon