Bada ya Rapper Tyga kutangaza ujio wa Album yake mpya mwaka huu na kuachia Cover,
Hatimaye cover hiyo imeleta mitazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki kwa muonekano wake explicit ambao umechukuliwa kuwa ni uvunjaji wa heshima ya bendera ya Japan.Akiongea na TMZ,T-Raw amefunguka na kusema,"Ni sanaa tu,na nlikuwa inspired by Kyoto Japan but nlikuwa sina maana yoyote ya ku diss flag with the design,na ile sio Flag,ni jua linalochomoza,artist aliyo design hii cover ni Hajime Sorayama ni Mjapan na alikuwa anajua vizuri style ya ku design kwa kijapani na ndyo maana nikafanya naye"
Tyga alimaliza kwa kusema kuwa,"Huu ni mwanzo,Just keep watching.”
EmoticonEmoticon