Baada ya Rapper Jay-Z kuongoza katika tuzo za Grammy kwa kukaa kwenye Category 8,
Right now kuna report kwamba Jay hato perform kwenye shoo hiyo.Kupitia mtandao wa HITS Daily Double umeripoti kwamba Jay-Z hato -perform kwenye Grammy 2018 kwasababu ambazo mpaka right now hazijajulikana.
Wasanii waliopangwa ku Hit Stage siku ya Jumapili January 24 ni Kendrick Lamar, Rihanna, Bryson Tiller, DJ Khaled, Bruno Mars, Cardi B, SZA, Childish Gambino, Logic, Alessia Cara, Khalid, Lady Gaga, U2, Miley Cyrus, na Merit Award recipient Elton John.
EmoticonEmoticon