TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Aonyesha Saa Anayovaa Ya Dola Million $1.2M (VIDEO)

Mafanikio ya muziki yamemwezesha msanii toka Nigeria
Starboy Wizkid kumiliki vitu vya Gharama ikiwemo gari,nyumba,cheni,saa,hereni,Glass na vinginevyo bt right now amefunguka via snapchat saa anayoivaa imegharimu kiasi gani.

Kupitia Snapchart Wizkid amefunguka kwamba amespend pesa nyingi sana kwenye wristwatch ambayo imegharimu kiasi cha Dola Million $1.2 ambayo kwa pesa za kibongo ni kama Billion 2 na....
A post shared by Instablog9ja (@instablog9ja) on


EmoticonEmoticon