TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Mapema Kabisa Anaidondosha Album Hii

Tyga is heading to Kyoto.
Hii ni baada ya Last Projects za T-Raw Tyga ambazo ni  Bitch I’m the Shit 2 and Bugatti Raww ambazo hazikufanya vibaya sana sokoni kwa upande wa mauzo bt Right now ametangaza tena Album na Tarehe kamili ya kuingia sokoni still early.

Kupitia account yake ya Twitter ameitangaza Album yake hiyo kwa kuandika,"Album yangu mpya itaitwa KYOTO na itatoka February 16,Nimekuwa nikitaka kufanya albamu hii kwa muda sasa bt sikuwa na confidence ya kujielezea ukweli wa hisia zangu katika story,nashukuru kwa support yenu mliyonipa kwa miaka yote  katika hali yoyote nliyokuwa nayo ya kushuka na kupanda na kipindi cha mwangaza na giza pia"
Tyga ameendelea kwa kuandika pia,"Album hii nimefungua moyo kwako na ninatumaini utaifurahia na kuipenda kama ninavyoipenda mimi,THANK YOU GOD ALWAYS"ni baadhi pia ya aliyoyaandika Tyga katika Account yake ya Twitter akiwa anamalizia


EmoticonEmoticon