TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Furaha Ya Camila Cobello Baada Ya Album Yake Ya Kwanza Kukamata Nafasi Ya 1 Billboard 200

Havana Girl Camila Cobello mwenye umri wa miaka 20, baada ya kuachia Album yake ya kwanza ya Camila January 12 amefanikiwa kuvunja record iliyokuwa imewekwa na mwanadada Meghan mwaka 2015 na album yake ya Trainor.

Album ya Camila imefanikiwa kuuza copy 119,000 kwa week ya kwanza kwa mujibu wa Nielsen Music na mauzo hayo yamemwezesha kuwa on Top katika chart za Billboard 200 kwa this week.  ,Huku ngoma ya Havana akiwa na Young Thug ikirudi nafasi ya 1 Hot 100 kwa week hii na kuiondoa Perfect ya Ed Sheeran katika nafasi hiyo

Furaha ya Camila katika mitandao yake ya kijamii,Katika Twitter na Instagram ameandika,"MY ALBUM IS NUMBER 1 ON BILLBOARD HOT 200!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 IM CRYING ON THE STREET"


EmoticonEmoticon