January 18 Rapper Diddy alikaa chini na Power 105 kwenye kipindi cha The Breakfast Club na kuongea mambo mengi sana ikiwemo Beef kati yake na Rapper 50 Cent.
Diddy ameendelea kukazia hilo swala kwa mashabiki na wale wanaoamini kwamba wawili hao wana Beef kuhusiana na Comment yake kwamba anataka kumpeleka 50 Cent Shopping,
Diddy anasema,“Nilidhani anahitaji nguo, I have no beef with 50. He loves me,You really think that’s hate? When you really break it down, you’ve been out here a long time, you know he loves me.”
Diddy pia aliendelea kusema kwamba hatosema Negative kuhusiana na 50 "na kuna wakati mtu ana act kama hakupendi na ana act hivyo lakini anakupenda"
Tazama Kuanzia Dk 20:15 akiongelea kuhusiana na 50 Cent cs Interview ni Ndefu
EmoticonEmoticon