TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Cardi B Ndani Ya Documentary (VIDEO)

Hii ni baada ya kuvunja record kubwa ya Billboard 
Hot R&B/Hip-Hop Songs kwa kuwa na ngoma 5 ndani ya Top 10 ambayo record hiyo ilikuwa inashikiliwa na Beyonce kwa kuwa na ngoma 4.But right now kuna Headlines  kuhusiana na mchongo mzima wa Documentary.

Cardi B right now ataonekana katika TIDAL documentary mpya inayoitwa I’m Here Muthafuckas ambayo atakuwa anaeleza the way alivyotoka chini mpaka alipofikia mafanikio yake.

Kama wewe ni Tidal Subscriber utaitazama full video yenye Dk 7 bt kama sio utaitazama short

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI


EmoticonEmoticon