TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diddy Akanusha Tetesi Kwamba Amempa Deal Young Boy Wa H&M (VIDEO)

Baada ya Tetesi kusemekana kwamba Diddy amemchukua kijana mdogo aliyekuwa amevalishwa nguo ya uzalilishaji na kumpa Deal la kutangaza Brand yake,Diddy amekanusha story hizo.


Kupitia mahojiano na Breakfast Club Power 105 Diddy amefunguka na kusema kwamba,"Nah, nah, nah, that wasn’t real,ntampaje kijana mdogo Million Dolla kwa picha?Kwa Kipi?Ain't that much modeling in the world,haijatokea,ni story tu za kwenye mitandao(Internet)The Internet is crazy." 

Tazama Kuanzia Dk 22:27 akiongelea kuhusiana na Kijana Huyo Wa H&M cs Interview ni Ndefu


EmoticonEmoticon