Rapper T Pain ametoa malalamishi kwamba anamdai Lil Wayne kiasi cha Dola $500,000 ambazo alifanyia kazi katika Album ya Carter 3 ya mwaka 2008 na hakulipwa.
Kampuni ya T Pain Nappy Boy imelalama kwamba katika project hiyo ya Lil Wayne ngoma iliyouza sana ilikuwa Got Money ambayo T Pain ndyo aliyoifanyia kazi.
Kwa mujibu wa mauzo ya Carter 3 iliuza mauzo makubwa zaidi ya 3.2 million copies ndani ya US peke yake so wangeweza kumlipa T Pain mkwanja wake huo.
Mkwanja T Pain anaodai ni Dola $500,000 ambazo kwa pesa za kibongo ni kama Billion 1,121,250,000.
EmoticonEmoticon