TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beef La Lil Wayne & Birdman Limekwisha???!!!!!Tazama Picha

Is This Nigga Squash The Beef??!!!

Rapper Bryan William a.k.a Birdman amekuwa katika Beef Zito na Lil Wayne kwa muda mrefu sana na mpaka imefikia kurushiana maneno makali kwenye stage kila Wizy akiwa katika Perfomance kama Fuck Cash Maoney na mengineyo mengi bt Tumeona pia Birdman akiwa ameshikilia Carter V ya Wizy na hataki kuachia.

But jambo kubwa ni hili hapa,kupitia kurasa ya Instagram ya Birdman amepost picha ya wanaye wawili wakiwa wamepoz na Lil Wayne ambazo zimezuwa maswali kwa mashabiki vp kuhusiana na Beef Lao wawili Je limekwisha au La?
Caption za Post hizo za picha zilikuwa "#4L #BLOODLOVE"
Birdman ana watoto wawili wakike na wakiume ambao ni Bryan Williams Jr pamoja na Bria Williams 

A post shared by Birdman5star (@birdman5star) on
A post shared by Birdman5star (@birdman5star) on


EmoticonEmoticon