Baada ya kufanya powa na ngoma zake 3 za mwaka huu ambazo ni Loud Pack akiwa na Dave East,Shooter pamoja na Skrt Skrt,Tory Lanez ametangaza jina la album yake ya nne ambayo itadondoka ndani ya mwaka huu.
Kupitia account yake ya twitter ameandika,"Album Name ... "Memories Don't Die"
Tory Lanez anategemewa kutoa ngoma ijayo na Rapper Future ambayo alishafunguka kuhusiana nayo September 7 inayoitwa Real Thing.Album Name ... "Memories Don't Die"— Tory Lanez #SWAVEY (@torylanez) October 5, 2017
KAMA UMEMIC NOMENEES WA TUZO ZA EMAS
EmoticonEmoticon