TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Ameachia Cover Ya Album Mpya Inayotoka.......

Chris Brown akiwa anasubiriwa na ujio wa mwaka huu wa Album,kupitia account zake za mitandao ya kijamii ameachia cover la album aliyoitangaza may mwaka huu.

Kupitia account yake ya Instagram na Twitter ameachia cover ya album yake ya   #heartbreakonafullmoon kwa kuandika,"OFFICIAL ALBUM COVER!!!!!!!!!!!!! #heartbreakonafullmoon๐Ÿ’”๐ŸŒ• LOVE YALL #halloween release date OCTOBER 31st"
A post shared by ๐Ÿ’”๐ŸŒ• #P&A #QUESTIONS iTunes (@chrisbrownofficial) on

Heart Break On A Full Moon itaingia sokoni October 31 mwaka huu. 
 

KAMA ULIPITWA NA STORY YA YOUTUBE & BILLBOARD TAZAMA HAPO CHINI


EmoticonEmoticon