TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Star Wa Kike Aliyewakanyaga Jay-z,Beyonce,Drake,Post Malone Ariana Grande Na Wengine Kwenye Tuzo Za MTV EMAs.

Mwaka 2018 umekuwa mwaka wa Furaha kwa mwanadada Camila Cobello baada ya kuibuka na Tuzo 4 za MTV EMAs zilizofanyika Nov 4 siku ya jumapili kuamkia jumatatu huko Spain.

Camila Cobello alikuwa yupo kwenye vinyang'anyiro 6 but akaibuka mshindi kwenye vipengele 4 ambavyo ni Mwanamziki Bora, Nyimbo Bora, Video Bora na Best US Act.

Alichokisema Camila baada ya kupokea tuzo hizo ni,"Najua ukiwa shabiki unajiskiaje,nakumbuka nikiwa na miaka 14,nikiangalia matamasha haya huku nikisubiria mwanamziki bora/pendwa atajwe.Najua ni dahamana maalumu kiasi gani aliyonayo kati ya shabiki na msanii wake pendwa,na natambua dhamana yenu kubwa ambayo ninayo kwangu nyie mashabiki zangu"

FULL LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA MTV EMAs
Best Artist
Camila Cabello - WINNER

Ariana Grande
Drake
Dua Lipa
Post Malone
Best Video
Camila Cabello, "Havana ft. Young Thug" - WINNER

Ariana Grande, "No tears left to cry"
Childish Gambino, "This Is America"
Lil Dicky, "Freaky Friday ft. Chris Brown"      
The Carters, "APES**T"
Best Song                      
Camila Cabello, "Havana ft. Young Thug" - WINNER

Ariana Grande, "no tears left to cry"  
Bebe Rexha, "Meant To Be ft. Florida Georgia Line"
Drake, "God's Plan"
Post Malone, "rockstar ft. 21 Savage"
Best Pop Artist
Dua Lipa - WINNER

Ariana Grande
Camila Cabello
Hailee Steinfeld
Shawn Mendes
Best New Artist
Cardi B - WINNER

Anne-Marie
Bazzi
Hayley Kiyoko
Jessie Reyez
Best Look
Nicki Minaj - WINNER

Cardi B
Dua Lipa
Migos
Post Malone

Best Hip-Hop Artist
Nicki Minaj - WINNER
Drake 
Eminem 
Migos
Travis Scott

Best Live Artist
Shawn Mendes - WINNER
Ed Sheeran 
Muse 
P!nk
The Carters

Best Rock Artist
5 Seconds Of Summer - WINNER
Foo Fighters
Imagine Dragons
Muse
U2

Best Alternative Artist     
Panic! At The Disco - WINNER
Fall Out Boy
The 1975
Thirty Seconds To Mars
twenty one pilots            

Best Electronic Artist          
Marshmello - WINNER
Calvin Harris
David Guetta
Martin Garrix
The Chainsmokers          

Biggest Fans
BTS - WINNER
Camila Cabello
Selena Gomez
Shawn Mendes
Taylor Swift
Best World Stage                                
Alessia Cara: MTV Spotlight @ Hyperplay, Singapore 2018 - WINNER
Clean Bandit: MTV Crashes Plymouth, UK 2017
Charli XCX: MTV Crashes Plymouth, UK 2017
David Guetta: Trafalgar Square, UK 2017
Jason Derulo: Isle of MTV Malta 2018
Post Malone: Wireless Festival, UK 2018
Migos: Wireless Festival, UK 2018
J Cole: Wireless Festival, UK 2018
Nick Jonas: MTV Spotlight @ Hyperplay, Singapore 2018

Best U.S. Act
Camila Cabello - WINNER
Ariana Grande
Cardi B
Imagine Dragons
Post Malone

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv