TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Povu Lamtoka "Utazani yangu ina Sukari au Nakojoa dhahabu😏"

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametokea kuuzika na kile kitendo cha kuona maneno yanazuka kila kukicha ambayo yanamsema kwamba ametembea na kila mwanamke.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika,"Mara Diamond Kamla Huyu, mara sjui naskia anatembea na Huyu, Mara Ooh sjui inasemakana juzi alikuwa na Huyu...Yani kila Ukiamka limezuka jipya, Utazani yangu ina Sukari au Nakojoa dhahabu😏.....Hebu Niacheni kidogo, niko Busy nahangaika kuipeleka Bongo fleva yetu Duniani.... Sijamkaza yoyote, na Sina Mahusiano na Yoyote anaetajwa, na Siku pia Nikimaliza Mahusiano yangu na Alie South na nikawa na Mwengine na ikifikia kuliweka wazi ntaliweka wazi Mwenyewe, Maana hakuna kitachonizuia... ndio kwanza nna miaka 28, Sijaoa na Hata nikioa Naruhusiwa niwe na wake Wanne PERIOD!!!...."

KAMA ULIPITWA NA STORY YA KUKAMILIKA ALBUM YA EMINEM


EmoticonEmoticon