TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Unajua Style Hii Ya Money Phone Talk Ilitoka Wapi?Soma Hapa

Kam utakuwa ni mjanja wa Town utakuwa unaelewa mtindo ambao unatumika na wengi wenye Paper zao kwa kuweka katika sikio na kuongea kama simu.

Rapper 50 Cent amedai yeye na Floyd Myweather ndyo walioanzisha mtindo huo,Kupitia page yake ya instagram aliweka post na kuandika,"Just so you know where the Money to the ear thing came from. The Original TMT"

Akimaanisha kwamba ulitokea kwao na anapoongelea Original TMT anamaanisha The Money Team ambayo ni Brandy ya Myweather.

But kuna Clip ya Video ya mwaka 2011 inayowaonyesha wakiwa pamoja wakifanya kitendo hicho cha Phone Money Talk

But swala hilo pia Rapper Jay-Z ameliongelea katika Album yake mpya katika ngoma ya The Story Of OJ 




EmoticonEmoticon