TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Sababu Za Album Ya Jay-Z Kutoingia Katika Chart Za Billboard 200 Kwa Wiki Hii

Swali kwa wengi litakuwa Album ya Jay-Z 4:44 ilitoka June 29 na kabla haijamaliza week iliweza kutwaa mauzo makubwa ya Platnum na kwanini haijangia katika chart za Billboard week hii na Billboard walitangaza Album ya Dj Khaled imeendelea kwa wiki ya Pili na kuiacha ya Jay-Z japo imefanya mauzo makubwa.

Jibu ni Hili

Report zinasema kwamba Tidal hawajapeleka mauzo(Streming numbers) Neilsen Music(Neilsen SoundScan)(Neilsen inahusika na ukusanyaji wa mauzo ya muziki ambayo hii ni sales source for the Billboard)

4:44 Ilikuwa Exclusive Tidal kwa muda wa wiki moja ambapo iliwawezesha watu kupitia 444.tidal.com kujiunga na Email na kutumia promotional code “SPRINT” ku download album kwa njia isiyo halali(Free download).

Report zinasema kwamba Sprint-supported downloads haziwezi kuhesabiwa katika Project rank ya Billboard bt zinaweza kumsaidia msanii kufikia mazuo ya Platnum hata ikiwa ni kwa week ya kwanza.

Let's Wait & See Next Week Billboards

Ijumaa Album Ya Jay-Z ilianza kupatikana katika Platfom zote za kuuzia muziki ikiwemo ITUNE, AMAZONE MUSIC na kwingineko kutoa Spotify 

But Right Now Jay-Z ametangaza Tour Yake ya Jay-Z Tour 4:44 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia 27 October 2017



EmoticonEmoticon