TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ommy Dimpoz Ajiunga Na Lebo YA RockStar400.Huu Ndyo Ujio Wake(PICHA & AUDIO)

Msanii Ommy Dimpoz amejiunga na Label mpya Rockstar400 ambayo itakuwa inamsimamia katika kazi zake za muziki, na katika Label hiyo yupo na msanii mwenzake wa Tanzania Alikiba.

Eclusive nyimbo baada ya kujiunga ameitoa inayojulikana kwa jina la Cheche ambayo kazi yake hiyo pia imesimamiwa na Label hiyo


DOWNLOAD

TAZAMA FULL PICHA











EmoticonEmoticon