TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Kukuletea Collabo Na Msanii Huyu Mkubwa Wa Nje Ya Nchi.Alichokiandika Msanii Huyo

Msanii Diamond Platnumz anayefanya vizuri na video zake 3 I Miss You, Fire & Eneka ambazo zimetoka hazijamaliza hata mwezi,amekuja na good News nyingine ya #JiweJuuYaJiwe ambayo anapiga collabo na msanii mkubwa toka nje ya Tanzania.

Kupitia ukurasa wa Instagram Diamond ametangaza ujio wa kushirikishwa na msanii Toka Nigeria Patoranking ambayo amembatanisha jina la ngoma na Tarehe kamili ya kutoka.
Chibu ameandika,"TRUST ME!! YOU GUYS ARE NOT READY FOR THIS..... #LoveYouDie@patorankingfire x #SIMBA Sept 1st 2017.... OYA #ENEKA Go GAGA!!!"


Msanii Patoranking anayefanya powa na Album yake ya  God Over Everything naye ameandika katika mtandao wake wa Instagram,"Wait for it...2 More videos "This Kind Luv ft Wizkid" " Halle Halle" Drops next from #GOETheAlbum #Skylevel"


A post shared by Patoranking (@patorankingfire) on


EmoticonEmoticon