TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wiz Khalifa Amevunja Record Kubwa Peke Yake YouTube Kwa Ngoma Yake Hii


Rapper Wiz Khalifa amejizolea umaarufu na jina kuongezeka kuwa kubwa baada ya video yao na Charlie Puth ya See You Again ambayo ni Soundtrack ya Fast & Furious 7 inayopatikana katika Album ya Furious 7,kuvunja rekodi katika mtandao wa YouTube.

Video Ya See You Again video ilitoka 6 April 2015 na imefanikiwa kuvunja rekodi kubwa YouTube kwa kuwa video iliyotazamwa sana katika mtandao huo kwa kufikisha watazamaji Billion 2,897,015,128  na kuipiku video ya Psy - Gangnam Style ambayo ilikuwa inakamata nafasi 1 bt now imeshuka nafasi ya pili kwa kuwa na watazamaji Billion 2,894,970,917. 

Video hiyo ime aplodiwa kupitia channel ya Wiz Khalifa na Baada ya matokeao hayo Wiz amesema kwamba,"Ninafurahi sana na ninashukuru kila mtu aliyeni support kwa kuangalia video hii YouTube " 

Video iliyopo katika 5 bora ya mwaka huu 2017 iliyotazamwa sana katika mtandao huo wa YouTube ni Despacito ya Luis Fons akiwa na Daddy Yankee ambayo remix yake ipo nafasi ya kwanza Billboard Hot 100 ambayo Justin Bieber ameshirikishwa

Itazame Video Hapo Chini na Updated Top 10 Ya Video zilizoangaliwa Sana YouTube 

TAZAMA VIDEO


TAZAMA TOP 10


EmoticonEmoticon