TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Beyonce Arudisha Zawadi Zenye Thamani Zaidi Ya Dola $ 150,000 Kwa Kim Kardashian

Chanzo kimoja kimeiambia Jarida La Heat Kim Kardashian mke wa Kanye West ambaye kwa sasa hayuko kwenye maelewano mazuri na JAY-Z alituma zawadi kwaajili ya Beyonce na Mtoto wake Blue ila zikarudishwa.

Chanzo hicho kimeripoti kuwa Beyonce amerudisha zawadi ya Kim Kardashian,Zawadi hio ni bidha yake mpya ya Urembo ambayo KKW ina Box la Gold yenye thamani ya dola $150,000 ambazo ni sawa na Papers za kibongo Million 335,550,000 na bidha hii bado haija ingia sokoni.
Kim alijua kwakuwa bidhaa hizo bado hazijatoka so Beyonce atazipenda.

Bt bidhaa nyingine  zilizorudishwa ni pamoja na nguo za Blue zenye thamani ya dola $10000 ambazo kibongo ni kama Papers Million 22,370,000  kutoka kwenye kampuni ya nguo za watoto ya Kim na Kanye West.



EmoticonEmoticon